Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado hawajakuuliza mjini walikuja mwaka gani
Na mwaka 2012 walikuwa mkoa gani

Eti mtunza bustani wa shamba la nyoka [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Asubuhi Depal alituma message humu kwa pale chini ikasoma ..

Ameifuta haraka...

Sent from my KISHIKWAMBI CHA SENSA using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe nimepata mashaka huenda Depal anatumia kishkwambi cha sensa kuingia JF

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Bado hawajakuuliza mjini walikuja mwaka gani
Na mwaka 2012 walikuwa mkoa gani

Eti mtunza bustani wa shamba la nyoka [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
🫣🫣🫣 maswali ya mauzi ati mjini walikuja lini kwani walikuwa vijijini 🀣🀣🀣 2012 wote walikuwa makwao
 
Sijui wapoje yaani.
Kishkwambi chenyewe kipo customized kwa ajili ya sensa mtu anaiba, kama sio ujambazi uliochanganyika na ushamba ni nini
Watu wa Arusha hawashindwi kukifanya pambo la nyumba
Au wanadhani watakipamba kama maua ya migomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
🫣🫣🫣 maswali ya mauzi ati mjini walikuja lini kwani walikuwa vijijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787] 2012 wote walikuwa makwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waliwahi kujihusisha na shughuli za kuchimba madini??
Nikapata wasiwasi ,huenda serikali inatafuta madini[emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…