Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Kwa jinsi yale mabao yalivyoingia... Lazima ikuume...Tungeshinda tusingemtukuza hata maana haya maajabu yapo livapuu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Roho imeniuma sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Poor Liverpool 🤣🤣🤣🤣🤣Kwa jinsi yale mabao yalivyoingia... Lazima ikuume...
Huu mkoa na mambo ya wizi damudamu🤣🤣🤣🤣Ndio la msingi hilo
Arusha ni majambazi aiseeKafie mbele 🤣🤣😂😂
Tz ina mikoa kibao, mbona mikoa mingine hakukua na wizi wa kishkwambi isipokua Chuga.Wivuuuuuu
🤣🤣🤣Hongera nawasubiri na mie nihesabiwe, nikiulizwa mpo wangapi nataka idadi ya active wote wa jf nao wajua 😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Arusha ni majambazi aisee
Yaani hata serikali hamuiogopi,,nyie ni kuiba tu🤣🤣🤣🤣
Bangi mbaya🤣
Utafkiri walichanjiwa wizi na bangiHuu mkoa na mambo ya wizi damudamu🤣🤣🤣🤣
Haya Mambo ya kuiba vishkwambi utayakuta chuga tuTz ina mikoa kibao, mbona mikoa mingine hakukua na wizi wa kishkwambi isipokua Chuga.
Hili nalo mkaliangalie
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Utafkiri walichanjiwa wizi na bangi
😂😂Poor Liverpool 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui wapoje yaani.Haya Mambo ya kuiba vishkwambi utayakuta chuga tu
Bangi umeharibu wanachuga akiyanani
Ndio imekula kwao hivyo, watajihesabu wenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanataka kumtoa roho kaninsaa wa sensa..
Arusha wameupiga mrefu,,sasa sijui watawahesabu vipi bila kishkwambi 🤣🤣🤣🤣
Kwani jirani yuko wapii myoyambendiTz ina mikoa kibao, mbona mikoa mingine hakukua na wizi wa kishkwambi isipokua Chuga.
Hili nalo mkaliangalie
Asubuhi Depal alituma message humu kwa pale chini ikasoma ..Huu mkoa na mambo ya wizi damudamu🤣🤣🤣🤣
Na hatuna shida ya kuhesabiwaNdio imekula kwao hivyo, watajihesabu wenyewe 😂😂😂
HatutakiChart na picha
Mngejua kama makarani wanajitekaHaya Mambo ya kuiba vishkwambi utayakuta chuga tu
Bangi umeharibu wanachuga akiyanani
Sijui wapoje yaani.
Kishkwambi chenyewe kipo customized kwa ajili ya sensa mtu anaiba, kama sio ujambazi uliochanganyika na ushamba ni nini
Mna wivu mbaya sana 😂😂😂Tz ina mikoa kibao, mbona mikoa mingine hakukua na wizi wa kishkwambi isipokua Chuga.
Hili nalo mkaliangalie