Selfika na JF: Snap it. Show it

hahah sijamsema vibaya huyo aliepost hela nilivyosema mbona hela chafu, point yangu yani tuweke japo hela vizuri yani, ngojeni niwaonyeshe mfano hiyo pic nimpegia apo chini, mi sipendagi yani labda niende sehem af nirudishiwe pesa zimechafuka chafuka
 
Haya mambo ya kudolishiana pesa wakati mie nina ka jero kangu hapa sio mazuri kabisa.
 
Mkuu hizo elfu kumi ulivyozipanga umehakikisha hao tembo wamekaa sawa yaani wote wameangalia upande mmoja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…