SA alinambia vanilla kijiko k1, ujue yai linashombo sana πInatosha D,si unatengeneza kwa robo au unataka likubwaaaa[emoji23]
Ooowh pole sanaKuuguza
mayonaizi ikwapi ππ
Hiliki tumia inakata shomboSA alinambia vanilla kijiko k1, ujue yai linashombo sana [emoji23]
Mimi hata chips yai nikikuta tu ina ute ndani haikukauka vizuri, siwezi endelea kula
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ooowh pole sana
ππNatakiwa nielewe kwanza π uliumiaje? Usikute wakishua umejigonga kidole kidogo mlangoni
Poleni..Mungu awape afya na uzima π π€²Nauguliwa dear,
Ahsante.
Safiiii sana..π€π€π€
View attachment 2332344
Namaanisha toa kitu cha keki hapo..Studio gani tena π€£
Amin[emoji120][emoji2536]Poleni..Mungu awape afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Nimelala bwana, wkend labdaNamaanisha toa kitu cha keki hapo..
Depal najua umepita na hiiSelfika na #voda#
*104*836543474256167#
dah nimechelewa mzee π΅βπ«π΅βπ«Selfika na #voda#
*104*836543474256167#
Ahaa poa poaNimelala bwana, wkend labda
Tangu lini voda ikakupita?Hapana π€£π€£
Emu selfika
Si nakuwa busy na mambo mengineTangu lini voda ikakupita?
Amepita nayo Doondah nimechelewa mzee π΅βπ«π΅βπ«
Kama tumekosa hii ya leo na ulikuwa busy sijui tutapata lini tena.Si nakuwa busy na mambo mengine