Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa man u wamechachuka vibayaaa lol. Uwiiiiiiih.
Nacheka km chizi hapa. Uwiiiiih
 
Kanye Ni GOAT...GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selfika bana ujue selfie zako zimekua adimu sanaaa
Tuma bundle hilo, uone picha zitakavo mwagika hapa, had utachoka wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan atajutraaaa kunifahamu.
Nawaonea huruma sana,,,,kuna baadhi ya raia wapo na dharau sana,nyumba zingine wanaweza wasifunguliwe mageti[emoji16][emoji16]

Wawe na subra tu[emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…