Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,151
- 28,874
Mkuu kumbe kingazi ni maeneo yako eeh? Mimi mara kadhaa nimekuwa pale jirani na kingazi wanapochoma mbuzi Ile bar mpyaHahaha ngoja nirudi usitie shaka nitakucheki Kingaz tunyweshee mioyo kidogo
Good morning madam SophyNitaselfika dada usijali
Nipo sana wew ndo adimuGood morning madam Sophy
Kitambo sijakuona,selfika basi mrembo
Zama zimebadilika bosi Ngoswe wa sasa hivi wanajipatia wachuchu kwa kuwalaghai ati watawapa vishikwambi , huku vijijini ni tafrani kila karani anatembea nacho sasa sisi tusio makarani sasa hivi mademu wanatuona nyoya tuPENZI KITOVU CHA UZEMBE
KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA
MITOMINGI: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo.
MAMA MAZOEA: Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).
MAZOEA: Hodi! Hodi!
NGOSWE: Karibu.
MAZOEA: (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.
NGOSWE: Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.
MAZOEA: Nimeambiwa nifanye haraka.
NGOSWE: Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?
MAZOEA: Bee!?
NGOSWE: Salama?
MAZOEA: Salama tu.
NGOSWE: Sasa ndio umekataa kukaa?
MAZOEA: (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?
NGOSWE: Bado kidogo.
MAZOEA: Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)
NGOSWE: Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?
MAZOEA: Mie?
NGOSWE: Ndio wewe hapo kisura.
MAZOEA: (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!
Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe!
JIANDAE KUHESABIWA
Aunt kumbe na wewe una tege🥰
🤩Naona Leo selfika kumechangamkaHeshima zenu wakuu.View attachment 2330924
😂Poz ilo labda auntAunt kumbe na wewe una tege🥰
Hilo pozi matata sana😂Poz ilo labda aunt
Haha hongera sanaHilo pozi matata sana
Afadhali nimeliwahi
Jumatatu yangu inaanza vizuriii😍
HahahahaZama zimebadilika bosi Ngoswe wa sasa hivi wanajipatia wachuchu kwa kuwalaghai ati watawapa vishikwambi , huku vijijini ni tafrani kila karani anatembea nacho sasa sisi tusio makarani sasa hivi mademu wanatuona nyoya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikizoom wapi sion hata kalips
Tangia jana niNaona Leo selfika kumechangamka
Ole wenu mseme sijaselfika.....Naked selfie
Shikamoo aunt rich
Umeamkaje mdogo wangu
SawA wale walimu wa Kiswahili secondary kidato Cha 3 na cha 4 Beesmom mim ni Biology peke nyekePENZI KITOVU CHA UZEMBE
KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA
MITOMINGI: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo.
MAMA MAZOEA: Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).
MAZOEA: Hodi! Hodi!
NGOSWE: Karibu.
MAZOEA: (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.
NGOSWE: Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.
MAZOEA: Nimeambiwa nifanye haraka.
NGOSWE: Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?
MAZOEA: Bee!?
NGOSWE: Salama?
MAZOEA: Salama tu.
NGOSWE: Sasa ndio umekataa kukaa?
MAZOEA: (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?
NGOSWE: Bado kidogo.
MAZOEA: Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)
NGOSWE: Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?
MAZOEA: Mie?
NGOSWE: Ndio wewe hapo kisura.
MAZOEA: (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!
Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe!
JIANDAE KUHESABIWA
Nmeamka salama..... Hakuna Cha live hapo....yani hata sura hatuoni kabisaUmeamkaje mdogo wangu
Wakija wasimulie wambie nimeweka kitu live bila chenga
Uchochezi huoo😁😁😁Nmeamka salama..... Hakuna Cha live hapo....yani hata sura hatuoni kabisa
Wakija ntawaambia