Anachoshidwa kujua ni kwamba Zama hizi mitandao ya kijamii ni sehemu ya maisha yetu.Hao wa vijijini Wana Facebook na kama kutongozana wanatongozana Sana Tu..akili kunkichwa
Wewe upo mtandaoni Kama hivi,unataka Kusema kwamba haufai kuwa mke just because upo online..yaani wake /mke anapatikana kijijini kusikko na jf? Not true
Kwanza sasa hivi kuoa/kuolewa ni kubeti maana hakuna wa kijijini wala wa mjini,wote wamebadilika,wote wameathirika na utandawazi,wote wanajua michezo michafu
Anachoshidwa kujua ni kwamba Zama hizi mitandao ya kijamii ni sehemu ya maisha yetu.Hao wa vijijini Wana Facebook na kama kutongozana wanatongozana Sana Tu..akili kunkichwa