Hata hostel za chuo hazifikii, yaan hapo kitabu kinapigika haswaah.Bweni la high school. Shule ya wasichana. Kila mtu na kachumba kake. Wanakaa wawili wawili tuvyumba tumetazamana. Wanashea choo, jiko, bafu na sebule.
Jikoni wana friji, microwave na jiko. Hawaruhusiwi kujipikia isipokuwa tu vitu vidogo vidogo (chai, mayai...)
Tumekumbatiana
Tumelia
Tukaagana
Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Misungwi here we come!
View attachment 2328301View attachment 2328302View attachment 2328306
Mtoko bomba, [emoji8][emoji8][emoji8]Friday[emoji328]View attachment 2328405
Dada mic u mnoooo??
Mic u too[emoji173]Dada mic u mnoooo??
[emoji8][emoji8][emoji8]
Niko poaaah [emoji8][emoji8][emoji8]Mic u too[emoji173]
Uko poa?
😍😍Mtoko bomba, [emoji8][emoji8][emoji8]
Uko vyedi cc.[emoji7][emoji7]
Ukitoka hapo full kushiba😋Pembeni tunaweka ile wine ya Jina langu,Baba mtumishi alishamaliza kuiombea
Santee dearUko vyedi cc.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Santee dear
Nimemficha hukuAntonnia
Shougaaaa angu, wera yuuuuu?? Mic u xanaaaa.
Afu naomba vocha, puliiiiiz.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kheeeeeh bas muambie mie nataka vocha tyuuh.Nimemficha huku
Inakufikia chapKheeeeeh bas muambie mie nataka vocha tyuuh.
Bas itakua vizuri.Inakufikia chap