Naomba unifundishe Mkuuu tafadhali nakuomba[emoji847]Huwa natamani kukuongelesha ile lugha yetu ya kimataifa lakini tena nikikumbuka kuwa we ni wa kishua wala huijui basi naishia tu kusononeka kimya kimya [emoji16][emoji16][emoji16]
Ūlīmhola? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yelewiiiii.... [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji849][emoji445]Wanakesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepooo[emoji444]
Ufe nkuzuke tuzikanee
Kesho tukakutane kwa pepoo[emoji443]
Hasii na chanya tugandanee [emoji444][emoji445]
Kisha tuzidishe tempoo
Bila sita saba nanane hata kumi Isingekueooo[emoji445]
Tena unavyonisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi[emoji445]
Umeniteka Babaaa
Watoto wa Mombasa Huko Kenyaa
Wanitamani ndizi ya kumenyaa[emoji444][emoji445]
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka Tonniah hapinduii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji15][emoji15]
Akina Carrymastory wanakusengenya
Navile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena[emoji445][emoji444]
Yani mpaka asubuhiii
Kiufupi umeniziba mdoo mdoo mdomoo.......…..
Yani baby umeniziba mdooo mdoo mdomoo...[emoji445][emoji444]
Usiku mwema wapendwa [emoji3577][emoji8] Lovelovie sis amesubiria sana mpaka usingizi[emoji99][emoji42][emoji99][emoji99][emoji42]
My One and Only Bosss!🙃🙃!Nyie Kuna watu wanafaidi aiseee [emoji39][emoji39]
Namie nipo sis bariki usiku wangu kipenzi!Haya ndo nmekuja ccy
Kaa hapo hapo ccy nakujaNamie nipo sis bariki usiku wangu kipenzi!
MjepMy One and Only Bosss![emoji854][emoji854]!
Weeeee👈👈👈 weeehhh👈👈👈👈!!
Nipo hapa Sis🙇Kaa hapo hapo ccy nakuja
Shem wako kwa nani [emoji34][emoji34][emoji34]Carrasco putin Shem darling
Unaniita mkuu halafu unategemea nikufundishe? Kweli? Bagosha! 😁😁😁Naomba unifundishe Mkuuu tafadhali nakuomba[emoji847]
Sawa kaka Shimba nifundisheUnaniita mkuu halafu unategemea nikufundishe? Kweli? Bagosha! [emoji16][emoji16][emoji16]
So Biurifoooo sis!!
Mwenyekiti nakusalimu tu!!Nipo hapa Sis🙇
Msukuma asiye na tako
Nimeipenda hyo style ya miguu [emoji39][emoji39][emoji39]
Nitumie picha hii whatsapp