Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 siwezi kufua nimekaa,, nitajimwagia sana maji

Sasa itabidi uje huku kufua, me nitakuja kusuuza
 
🎶Wanakesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepooo🎵
Ufe nkuzike tuzikanee
Kesho tukakutane kwa pepoo🎼
Hasii na chanya tugandanee 🎵🎶
Kisha tuzidishe tempoo
Bila sita saba nanane hata kumi Isingekueooo🎶

Tena unavyonisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi🎶
Umeniteka Babaaa
Watoto wa Mombasa Huko Kenyaa
Wanitamani ndizi ya kumenyaa🎵🎶
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka Tonniah hapinduii😜😜😜😳😳
Akina Carrymastory wanakusengenya
Navile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena🎶🎵
Yani mpaka asubuhiii
Kiufupi umeniziba mdoo mdoo mdomoo.......…..
Yani baby umeniziba mdooo mdoo mdomoo...🎶🎵

Usiku mwema wapendwa ✌️😘 Lovelovie sis amesubiria sana mpaka usingizi💤😴💤💤😴
 
Aliyekufundisha mashairi ni boss Mjep au Tajiri Poker
 
Nyie Kuna watu wanafaidi aiseee [emoji39][emoji39]
 
Hiko kifua anafaid Mjep hapo chini anafaid Poker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…