Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
SawA Mwanza sehem gani?!Eeh dear, kwetu huko![]()
SawA Mwanza sehem gani?!Eeh dear, kwetu huko![]()
Najisikia ovyo vipi wewe ?Uko poa lkn
Unaumwa nn tena jaman ahhNaumwa vipi wewe ?
Magu dearSawA Mwanza sehem gani?!
Nipo ovyo yaaniUnaumwa nn tena jaman ahh
Mrembo umepotea sanaLife is either a daring adventure or nothing at all .
Unanielewa Kaka , Sina picha kwa sasa.Mrembo umepotea sana
Ebu selfika kidogo
Nimekumic mpka nimechora tattoo ya jina lako kwenye moyo wanguNipo ovyo yaani
Hujanimiss kwa hiyo![]()


We mrembo uhali ganiUnanielewa Kaka , Sina picha kwa sasa.
Nipo rafiki
Hahaha nimecheka jamaniNimekumic mpka nimechora tattoo ya jina lako kwenye moyo wangu![]()
Mke ya tajiri uhali ganiSelfika pls
Salama ndugu vipi weweWe mrembo uhali gani
Salama pia ,uzima ndiyo kila kitu,Salama ndugu vipi wewe
Walikuiba au ulikuwa honeymoon 😂Salama ndugu vipi wewe
Amen , Mungu mwemaSalama pia ,uzima ndiyo kila kitu,
Sijambo 😂😂😂 nakuona boss kubwaMke ya tajiri uhali gani
Nani wa kuniiba sasa 😂😂Walikuiba au ulikuwa honeymoon 😂
Unashangaa wapi huko? Au mpenzi alikupiga uzio kulog in. 😂😂😂Nani wa kuniiba sasa 😂😂
Nipo tu nashangaa huku
Vipi dear mzima