Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,223
Tall white and handsome Carlos Tevez usijifanye kupepeya, rudi hapa
BK ni nani 🤣🤣 BM sijui 😂😂😂Hivi kapotelea wapI kwanza, ye na mwenzake BK😂
AmenCan I get a genuine Amen please? 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nipo around. Nasubri uselfikeTall white and handsome Carlos Tevez usijifanye kupepeya, rudi hapa
Mwenyewe sijui bana🤣🤣🤣BK ni nani 🤣🤣 BM sijui 😂😂😂
😂😂😂😂😂 leo sifanyi mchezoUmeshika hela za watu zimekulevya🤣🤣🤣🤣
Umelewa njaaa 😂😂Mwenyewe sijui bana🤣🤣🤣
Amen🙏 to that bageshiCan I get a genuine Amen please? 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Jifunze, lugha nzuri sana jirani..Ningekuwa najua kiarabu ningekusemesha…
Nitajifunza ukiacha kuniandikia aiseeJifunze, lugha nzuri sana jirani..
👍👍 sema umeikata sana mkuu
Hiyo saa 3 me ndio nalala rasmi. Kesho unisimulie jua kali😂😂😂😂😂 leo sifanyi mchezo
Kulala saa 12-3 naamka
Huba ya leo ya kibabe
Rudia👍👍 sema umeikata sana mkuu
Huba wana uswahili lakini ndio hivyo tena, ishanibamba..Hiyo saa 3 me ndio nalala rasmi. Kesho unisimulie jua kali
Huba sijawah kuipenda eti, naona wako too fake, ubishoo mwingi sana
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Rudia
Na mie nitarudia
Fanya hivyo chap🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwetu Isamilo dearAsante dear, kwenu maeneo gani
Sana, me ilinishinda.Huba wana uswahili lakini ndio hivyo tena, ishanibamba..
Nakuhadithia? Nitawezea wapi?
Poa dear 😘Kwetu Isamilo dear