Msamehe tu chiefNimeimia sana rohooo yanguuu π₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπππππ huyo nitampata tuuu acha hizo namba nizipeleke mtamboni tuone nani kautumia hivyo vocha ndio atajua hajui kuchukua vocha yangu
ππππ huyo hawezi nihujumu hili halitoisha salama hapa, kwa usalama wake arudishe vocha yanguMsamehe tu chief
Inabidi uhakiki namba kwanza asije akawa aunt Lizzy πππ
We jitetee tu hapaSijaichukua mie bro, situmii halotel saivi
Mama yeyo unalia nn wakat mm nipo zaidi ya simba njoo nkutulizeCuzoooo mwenzio nalia Simba tumekosa Ngao.
NambiyCuzoo huyooo
Tutajenga kweli?
Kujenga umewaza mbali, kununua tu kiwanja mtihani πππTutajenga kweli?
π₯π₯π₯π₯ splendid
Hii mambo
Hii uswazi hiyo mishkaki kama ya mbwa vile kama kondoo yani haieleweki kikubwa unashiba ππHii mambo
Ni pale palee[emoji1787]
Hivi kumbe mna wimbo wenu eeeh πππHii mambo
Ni pale palee[emoji1787]
Nikajua ushajenga π³π³Tutajenga kweli?
MamboNambiy
Wasalimie hapo Mbalizi mojaJioni njemaView attachment 2325423