Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lizzy ya kahawa 😀😀😀
96CA9043-27B4-49D8-BF1F-6DA16007741F.jpeg
 
Inaonekana kali, mdada akiwepo kwenye mkono👊movie hua inakua kali sana.
Nitaitafuta niicheki dear
Uitafute una Mb?? 😂😂😂😂 Unajua mb za kuchat sio sawa na za kupakulia movie?

Afu ule muda tumemaliza kuongea.. nimeingia pale, nimetoka.. ile narudi hivi Bt yulee 🤣 Almanusura nidondoke 😂😂😂
Nikasema hapa ungekuwepo,, sipati cheko lenye ungedondosha😂😂😂
 
Mb nitaomba jirani hapa anihotspot😂😂

Uwii mwambie ana maisha marefu sana😂
Umemsalimia au umejibanza mahali? Pozi lote la kuulizia feedback likapotea!😂😂
 
Back
Top Bottom