Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Time for training and belly rubs,, tunawasubiri watakao kuja kuhesabu watu
JPEG_20220815_144413_9171272046486395102.jpg
JPEG_20220815_144726_803018484631393496.jpg
JPEG_20220815_144922_363896573392908340.jpg
JPEG_20220815_145052_7160881370443299478.jpg
 
Itafute leo leo....
inahusu civil war Africa, halafu kuna huyo kamanda kiongozi ambae amecheza kama Idris Elba katili sana, anawafundisha watoto wadogo yatima waliowapoteza wazazi wao vitani kuwa katili kabisa na kuwa join kwenye jeshi lake la msituni.
MV5BMTYwMzMzMDI0NF5BMl5BanBnXkFtZTgwNDQ3NjI3NjE@._V1_.jpg

original.jpg
Interesting story ila haitishi n haina matukio ya kuhuzunisha?
Maana nikogo emotional kidogo kwenye movie za kusikitisha😂
 
Back
Top Bottom