Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilioga mwez uliopita nilivyokua naumwa kifua, nilivyopata nafuu tu nikarud zangu kwenye baridi.

Eeh kwa huko maji barid ni kujitaftia ugonjwa, ila kuna saa huko nilikua nayaoga na barid lake😂
Nimeyazoea tu
Mimi hata kasoda baridi nikifululiza cha moto kitanikuta tu 😀

Mimi huku bado sana kuoga maji baridi,, najipenda sana 🤣🤣🤣
 
Mimi hata kasoda baridi nikifululiza cha moto kitanikuta tu 😀

Mimi huku bado sana kuoga maji baridi,, najipenda sana 🤣🤣🤣
Usiyaoge utaumwa na mie bado nakuhitaji didi ake😂😂

Si unataka kujua kinge wewe, njoo tusome magazeti haya, nikikupeleka vacay Ulaya usintie aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…