Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku zote asiejiamini hutumia nguvu nyingiiii kutaka aonekane ! Mbaya zaidi anawaste tu wakati reality iko wazi waziiii! Hakika maajabu hayataisha duniani!
Asiejiamini sikuzote hupenda kujilinganisha! Na anapenda competition sana !
Siku zote anependa kukompete kazidiwa na anaona mtu fulani kwake ni threat!
Tuliza mshono kila mmoja ashinde mechi zake mbilikimo wa congo wewe!!
 
Shikilia hapohapo kwenye mkanda .
Mimi natafuta kitambi cha kufutia simu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha tu, me tege langu nishalizoea maana lilinitesa sana mwanzoni

Inabidi tu kukubaliana na hali, muhimu kulijulia jinsi ya kusimama ukiwa mbele za watu[emoji23]
Aisee kuna wale ambao tunao ya jumla jumla.
Wengine nyie hadi mtu apige na jicho la rohoni.

Sisi wa ya jumla yaani kitu clear kabisa ..haiitaji jicho la rohoni.
 
Daaah we kiumbe una nini?
Umekuniwa nazi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumbooo tatizo tumboo linaumaaa!! Mi nauacha asee watanipenda hivihivi na kitambi changu [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji6][emoji6][emoji6]
Umeharibu sasa kutoa

Lingeuma siku chache baadaye linapoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…