Nasikia wakiongeaUmepatia aisee. Sijui umejifunzia wapi yaani. Leo atalia fisi πππ
Kwema sana mkuuNipo bosi wangu.
Za muda kidogo?
Kwema huko na wapendwa wako?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nimecheka hadi nimehisi maini yamecheza π€£π€£π€£π€£π€£
Mimi, wewe na Carleen tukikaa mezani,, hapana mtu ataonekana yuko na akili timamu πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Halftime..RM wamepigwa 1 jiraniBenzema leo napo anangoja zile bahati zake za kufunga dk za mwisho mwisho??
myoyambendi
Saint Anne umewaona blues leo? Pira birianiii π₯ achana na ile mbuzi Antony ametuhujumu vibaya π«
πUmeanza kusinzia embu fanya ulale π
We dogo upooπUmeanza kusinzia embu fanya ulale π
π€Έπ€Έππππππππ€Έππ€Έπ€Έπ€Έ Niwache niwacheeeee!! Nushagongea vocha humu aaaaaaarhhh maisha bareeeeeeeedaaaa kabisa ππππππ!Nitakufinya unalijua hilo
Yaani..Ukishajijja, hata wakati wa kusimaa kuwa makini⦠kuna mwingine akisimama bila taadhari waweza hisi miguu itavunjika [emoji85]
Akili timamu za nini maisha mafupi hayaπ€£π€£Mimi, wewe na Carleen tukikaa mezani,, hapana mtu ataonekana yuko na akili timamu ππππ
Nipo brazaWe dogo upooπ
Safiiii jirani..
Naonaβ¦Halftime..RM wamepigwa 1 jirani
Muone alivyo kwanza...hebu jibu basi?π€Έπ€Έππππππππ€Έππ€Έπ€Έπ€Έ Niwache niwacheeeee!! Nushagongea vocha humu aaaaaaarhhh maisha bareeeeeeeedaaaa kabisa ππππππ!
Za huko kwenu jiraniMarahaba jirani, sijambo kabisa.
Umenitenga kiainaNipo braza