Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa taarifa hii inawezekana kabisa mjukuu wako cocastic hajafika hicho super kilele, maana pamoja na mizagamuo yoote anayofanya anatafuta kilele cha 22😁😁

Mkuu hii mada inabidi tuianzishie izi kabisa kuna madini hapa vijana watapata, na huu mjadala ukae sawa kuna wadau washereheshaji ni muhimu wahudhurie
 
Kuna mtu niliona anatype masaa mengi sioni komenti yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­πŸ€­πŸ€­!
Au ndio ashanyang'anywa simu huko??? Jamaniiiiii msitufanyie hiviiiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Tumewazoea sieee!!
cocastic shogangu ukwapi lakiniii???
 
Acha tu kakangu!! Nina kama wiki 2 mzima mtu kanivuruga vibaya sana acha nikomae nae mpaka kieleweke!!
Tuliza jazba kwanza kila tatizo litaisha kwa kuzungumza! Take time muyasovu kwanza na asante kwa Selfii ya kulalia!! Najua Usiku wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!! ✌️✌️✌️!!😘
 
Tuliza jazba kwanza kila tatizo litaisha kwa kuzungumza! Take time muyasovu kwanza na asante kwa Selfii ya kulalia!! Najua Usiku wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!! [emoji3577][emoji3577][emoji3577]!![emoji8]
Asante sana dada! Una nyama ya ulimi hadi natamani uwe wifi yangu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!
 
Asante sana dada! Una nyama ya ulimi hadi natamani uwe wifi yangu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!
Kwanza Kakako yuko wapi humu??? ????πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ€”πŸ€”πŸ€”Kama humu asante mdogo wangu humu dadako nishashindwaaa kitambooo! Siwawezi humuuu afu napenda uhuru na kujiachia mtu mzima mieee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…