Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakuu tunakwama wapi jamani..?

Speed ya uzi imepungua sana tofauti na ilivyo kawaida!

Kutoka wastani wa kurasa 50+ mbele kwa siku hadi kurasa 2 kwa siku ni hali inayosikitisha sana.

Naomba Wakuu mjitafakari.
Humu Watu wakishaji-engage kwenye love affairs na tu kwisha habari yao!
Wanaanza kuoneana wivu with lots of limitations! Full kuchat kwa step, full kupunguza kujiachia , full makasiriko ya hapa na pale,!! Shortly ni full of less freedom!

Ukitaka kuwa huru na kujiachia utakavyo here just mind your own fuckng business na achana habari za malovee!.

#OpinionsAreNotFact

Alamsiki!!
 
Umejuaje yote hayo
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”!
Jamaniiiiii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Ndiomana naogopa sana mimii walai!!!
 
Aisee kumbe mambo ni mengi sana humu!
 
Yani kumbe mambo ni rahisi hivyo.
Rahisi wapi mkuu kwa staili hii ni magumu banaaaaaaaaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
kumbe sie tunawamiso Watu humu ni wamenyimwa uhuru jamaniiiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wakuu tunakwama wapi jamani..?

Speed ya uzi imepungua sana tofauti na ilivyo kawaida!

Kutoka wastani wa kurasa 50+ mbele kwa siku hadi kurasa 2 kwa siku ni hali inayosikitisha sana.

Naomba Wakuu mjitafakari.
Inasemekana majobless ndio uwa wanashinda hapa,, itakuwa wamepata kazi ya sensa ndio wako bize πŸ˜‚πŸ€­

Mtu kama Lenie ni boss sana, akiwa busy sishangai..

Sisi pia wengine na kina Wigelekelo ni mabosssssss huku kwa muhindi, kuna nyakati tunakuwa bize balaaa

Afu kuna wale wa matipo Id,, waaambieni waashe zote 🀣
 
🀣🀣🀣
Yaani mambo mengi muda mchache

Upo?
Nikajua ushafall in love huko umepigwa pini kupost.
Tumekutafuta sana na jirani myoyambendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…