Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,074
Akupee huko shimoni ama nene!!✌️✌️✌️ santo sana kwa kuselfika
Au nipe ivoivo View attachment 2322399
Au nipe ivoivo View attachment 2322399
Hahaha.....Anatuletea stori za mandingo[emoji3]
Maisha bila Ugali yafaa nini?Hongera sana aisee mie Chips zishanishindaga mie nishazoea ugali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!!
MmmhWachaa[emoji1787]
Sasa huyo jamaa yako
Nae anapiga menyu ze semu
Halafu jaramba kama kawa[emoji2297]
Ugali sanasanaUgali wapi pilau kuku na Chipsi kwakwenda mbele
Jitoe ufahamu
Neema za wokovuNdio kusema
Umejaaliwa neema zile kubwa kubwa[emoji848]
Ya mchongo [emoji23]Pisi Kali[emoji7]
Pisikali[emoji7][emoji7]
Born Again
Thubutuuuu!! chips makuku kila leoo
Kisurisuri cha Pep🤣🤣🤣🤣🤣Born Again
Mnakuwa(ga) warembo
Kwa hiyo hapo unasubiri
Upepo wa kisuri suri sivyo[emoji1787][emoji848]
Hii yenyew kabisa 😍
Shikilia hapo hapo Madam.Oparesheni tokomeza kitambii naona mkanda unanichelewesha nakazia na belt la trauza tumbo libanee nataka kiuno nyigu nmsintanieee!!🤣🤣🤭🤣🤣😂😂 Saint Anne
Mshepu huoKumbe urembo kazi hivi nyieee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Tumbo linabanaaa hupumui vizuri huhemi vizuri huli sanaa kha!!! Hii likizo nataka nirudi modoooo!!
Acha wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii yenyew kabisa [emoji7]