Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
KaCoca ndio zake.Hizi memes muachie nations na cocastic siku wakichafukwa ni memes nonstop!!
Sema mimi leo nimepata bando nikafurahiii
Nawasumbua na meme
KaCoca ndio zake.Hizi memes muachie nations na cocastic siku wakichafukwa ni memes nonstop!!
Wewe unadhani mimi ni yupi?Wewe ni yupi![]()
Njema sana wigee!! I hope uko bien rafiki!!Boss lady mwenyewe
Habari yako rafiki![]()
Ushaambiwa achana nazoKaCoca ndio zake.
Sema mimi leo nimepata bando nikafurahiii
Nawasumbua na meme

Shukrani ziende kwa Baba mtumishi..Mjep usiseme hujaona utregee!!
Umeanza kunenepa na kujaa hipss! ✌️✌️✌️✌️ Kweli baba Junia anafanya kweri kweri 🤭🤭🤭🤭🤭!
Sikuhizi ni mwendo wa memes tyu ausio!!😉
Sijui hata ni yupiWewe unadhani mimi ni yupi?
Mtajuaje nimepata bando??Ushaambiwa achana nazo
Wewe jiselfii tu
Halafu huyo mwenye vibastola na kitako flan hivi
Aliyevaa sarawili ya jinzii ni nani tena![]()
Ndio kusemaMtajuaje nimepata bando??
Lazima nipost meme.
Kwani unadhani ni nani?

Kabisa yaaniSikuhizi ni mwendo wa memes tyu ausio!!😉
Ugali wapi pilau kuku na Chipsi kwakwenda mbeleShukrani ziende kwa Baba mtumishi..
Hadi nanenepa😂
Nafukia ugali si utani
Jana nzima nimeshindia chipsiUgali wapi pilau kuku na Chipsi kwakwenda mbele
WachaaJana nzima nimeshindia chipsi
Leo ni siku ya ugali..nilikula vitambi naona vishayeyuka tumboni..Nikale ugali sasa


Hongera sana aisee mie Chips zishanishindaga mie nishazoea ugali 🤣🤣🤣🤣😂!!Jana nzima nimeshindia chipsi
Leo ni siku ya ugali..nilikula vitambi naona vishayeyuka tumboni..Nikale ugali sasa
Awapi wengine ni nature yao tu!!Kabisa yaani
Ukiona vimbaombao ujue wapo single au wapo kwenye rship ambayo ukiwastua sasahivi hawana elfu 10 ya haraka haraka.
Anatuletea stori za mandingoUgali wapi pilau kuku na Chipsi kwakwenda mbele
