Anaongea. Ungemsikiliza basi ungejua namaanisha nini.
Hachoshi kusikilizwa.
Basi siku yenyewe alinipigia nikamrekod anavonigombeza et 'B that's nout good'
Yani mtu anakugombeza kama anakubembeleza. Basi akanifanya kila mara niwe nasikiliza mgombezo wangu.