Mwana lunyasi, nawee unavaa jeans ya mchano??





Wee kiumbe nasubir vocha eti.Usiku mwema wapendwa!!! Wacha Nikapumzishe fuvu langu kwa leo!!![]()
Lol nilisahau shos!!! Vumilia KeshoWee kiumbe nasubir vocha eti.
Ulale salama jiraniSalam za usiku kwenu
Jirani kumbe upo, hujamboUlale salama jirani
Depal hajapatikana bado jirani..Ulale salama jirani
Niko poa jirani, uhali gani weweJirani kumbe upo, hujambo
Sawasawa jiraniInasemekana kuna mahala kaonekana jioni ya leo, wacha tusubiri kukikucha nitapata taarifa kamili af nitakujuza jirani.
Poaaaah!!!Lol nilisahau shos!!! Vumilia Kesho
Same to me, nakumbuka kuna game ilikua km sikosei Misri, sijui michuano gan ile, mgosi alilazimisha kuingia dakika za majeruhi wakat huo tushachapwa kimokoo, aseeeeh mgosi kuingia tyuuh mpira aliogusa akawatawanya wachezaji pinzan had golin na kuchomeka bao,Kama kawa, kama dawa mrembo.
Mwana Lunyasi since 2005 enzi za Muda Hassan Mgosi.
Nakukubali sana cocastic