Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Mimi mzima kabisa jirani....Asubuhi njema kwako.Me niko poa jirani, jana nikalala mapemaa.
Uhali gani jirani yangu
Noted 📝
Morning guys!!
Muwe na Siku njema yenye amani furaha na baraka telee!
Likawe kheri na fanaka kila jema mfanyalo IJN
Antonnia!!![]()
Kweli jirani...tunaweza kumpoteza jirani yetu kwa wana-chuga..Ikifika jioni bado hajaonekana, itabidi nikatoe taarifa polisi waanze kumsaka.
Isije ikawa wasiojulikana wamefanya yao.
Naiwinda selfie yako mkuuTuselfike kabla hatujaondoka mkuu😃
Wana chuga sio watu wazuri kabisa. Nitafatilia hilo jirani usiofuKweli jirani...tunaweza kumpoteza jirani yetu kwa wana-chuga..
Sawa jirani..unijulishe.Wana chuga sio watu wazuri kabisa. Nitafatilia hilo jirani usiofu
Muhimu jirani yanguSawa jirani..unijulishe.
jambo rafiki mremboPresseeeeeeeeeeeeeeeeennnttttt!!!!!!✋
Sijambo mkuu!!jambo rafiki mrembo
Boss lady shikamooSijambo mkuu!!
safi km hujamboSijambo mkuu!!
Hivi mimi nitaanza lini kuitwa jiraniau hiyo cheo bado sijahitimu mafunzo yake😜Muhimu jirani yangu
Marahabaaaaaa mr Vocha I hope uko vyediii kabisa bossi wetu selfika!!Boss lady shikamoo