Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,120
Usiku wenye jotojoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!Jirani ubarikuwe na uwe na usiku wenye jotojoto..
Amin!!
Usiku wenye jotojoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!Jirani ubarikuwe na uwe na usiku wenye jotojoto..
Alafu nahisi kama ulikuwa umevaa pensi! Umenona sana 😍❤️💕 kama jogoo la maonesho ya nanenane.Usiku wenye jotojoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!
Amin!!
Hapana Ni suruali mkuu!Alafu nahisi kama ulikuwa umevaa pensi! Umenona sana 😍❤️💕 kama jogoo la maonesho ya nanenane.
Ni hatari sana kwanzia sura, lips na shape unanidatisha sana ❤️. Mungu alikuumba ukaumbika hakika 😍😘Hapana Ni suruali mkuu!
Kumekucha mkuuWaungwana na wastaraabu wa selfika
bora tukalale mkuuKumekucha mkuu
hahahaha hebu anza mkuuTuselfike kabla hatujaondoka mkuu😃
Mnapenda wanaume black ila mnataka vitoto shombe😅So far ninao wanne tayari nje ila wengine nawatosa imekua too much😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa?? Kwan nawee wadada wanatakaga kuzaa nawee??
Me niko poa jirani, jana nikalala mapemaa.
Presseeeeeeeeeeeeeeeeennnttttt!!!!!!✋Waungwana na wastaraabu wa selfika
Morning guys!![emoji113][emoji113]
Muwe na Siku njema yenye amani furaha na baraka telee!
Likawe kheri na fanaka kila jema mfanyalo IJN
Antonnia!![emoji3577][emoji3577]