Wee upo missenyi kumbe hahahaaa!! Za Uganda zimejaa tele hapo bei yako tu! Mie hata sio mtembeaji kabisa hapo huwezi amini sijawahi ingia huwa naona tu nikiwa napita toka Ug kwenda Bk!
Uwiiiiiiiiii ni mbali balaaa! Kutoka Bk Mjini tu kwenda ngara masaa kama 8 na unaambiwa ni mkoa mmoja tu huo wilaya ndio tofauti!! Ngara pamekaa pembeni sana utadhani ni mkoa mwingine kha!