Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi kuna Wanawake wanakula sana kuliko Wanaume? Wewe utakuwa wa kwanza kumaliza robo kilo peke yako [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Unataka kuniambia kile chakula ni robo kilo[emoji23]

Sawa bhana nishindwe kumaliza wali robo kilo labda sio mie[emoji41][emoji125][emoji2535]‍[emoji2382]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakeleka mwenzio bora angepata mwana haswa wa selfika vocha kaidaka mtu wa jukwaa la mahusiano [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
😁😁😁😁 Nimecheka sana wewe dogo By the way Kila mmoja na kiwango chake cha uvumilivu/ subra ! Hatufanani!
Sema nene asanteni kwa ushauri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…