Mzee baba, kuna "nongcun" moja nilienda huko "zhongguo" kama ushawahi sikia mahali panaitwa Changsha, nikakaribishwa chura waliokaangwa kama hivi, wapo bakuli katika round table...
Mzee baba, kuna "nongcun" moja nilienda huko "zhongguo" kama ushawahi sikia mahali panaitwa Changsha, nikakaribishwa chura waliokaangwa kama hivi, wapo bakuli katika round table...
Hivi we Atoto sasa wewe unavyoona na mimi nina picha za kusema kwamba eti mtu asubirie nitume au abembeleze nitume?? Humu zinatakikana picha za watu kama ninyi ambao mnajiremba mnapendeza wengine tunatuma tu ili kukamilisha lengo la uzi!!
sijui umenielewa..najua umenielewa haya tumeni picha basi jamani..