cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
Ukipewa vochaaa urushe kwanguuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri nikisettle
Sahivi nina kazi
Ukipewa vochaaa urushe kwanguuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri nikisettle
Sahivi nina kazi
Tuma vocha kupitia Wave. Napokea kwa Mpesa.Wewe tena nikirudi nitakuletea[emoji1]
Hahahahaha.............sogea nane nane hapo jeshini nikupe 🏃🏃🏃Hongera sana gran ba, afu nisababishie vocha gran kid ako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Selfika bas nikuone auntMie mzima.
I mic u moaah.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Tuma bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha.............sogea nane nane hapo jeshini nikupe [emoji125][emoji125][emoji125]
Shangazi cna mpya, ngoja baadae bas.Selfika bas nikuone aunt
Hongera bossView attachment 2313849
Hapo bado haijaanza kuongea Kiinglish na mzigo umekata, kweli usijenge Kwa hela za Pension [emoji134]
Happy Thursday guys
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2313849
Hapo bado haijaanza kuongea Kiinglish na mzigo umekata, kweli usijenge Kwa hela za Pension [emoji134]
Happy Thursday guys
Unakula wali huko plus viepe[emoji8]Dyadyaa mic u mnoooooo, niko Mbeya.
Hahahahaha........itakuwa Mzee ameona kwenye Kila maneno mawili unayoongea na simu unazopiga unataja neno dalali huku unaelezea ukubwa wa nyumba yenu 🤪Hongera boss
MM nasubir nyumba ya urithi hapa dingi analala na panga sijui anafikiri tutamuua
[emoji856]
Mihogo,dogo.Nn hyo
Nani dogo [emoji34][emoji34][emoji34]Mihogo,dogo.
Mzee anazingua mm namlia timing tu ipo siku atajaa tu namiliki nyumba [emoji851][emoji851][emoji851]Hahahahaha........itakuwa Mzee ameona kwenye Kila maneno mawili unayoongea na simu unazopiga unataja neno dalali huku unaelezea ukubwa wa nyumba yenu [emoji2957]
Subiria pension ya mwezi Ujao Mama Samia akitulipa 🤪🤪Tuma bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh dogo kabisa,Leo ndyo tbt ehh mwaka 1978 kipindi hiko humu JF tupo wachace sana haya kijana nisiyependa mapenzi ndyo nazaliwa 1972[emoji856]View attachment 2313877
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mwaka 72 bana sshv mtu mzma kbsaDuuh dogo kabisa,
Mfyuuuu
Ikitokea kijana wangu naye akiwa na mawazo kama yako Bora nibomoe hata hiyo nyumba yenyewe tukose wote 😂Mzee anazingua mm namlia timing tu ipo siku atajaa tu namiliki nyumba [emoji851][emoji851][emoji851]
Huwezi jua Ila ukiona kijana wako anakuangalia sana ujue Kuna mission hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikitokea kijana wangu naye akiwa na mawazo kama yako Bora nibomoe hata hiyo nyumba yenyewe tukose wote [emoji23]
Embu nipishe mie,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mwaka 72 bana sshv mtu mzma kbsa