[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Daaaah!!Hamna siyo ubishi ila wewe kaongo sana
Ninyi hamwezi kunihitaji mimi, isipokuwa mimi ndiye ninawahitaji ninyi.
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nawe ni mpenzi wa ugweche na ndondo??
Nimekununia.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]nini sasa tena
Hata aibu huoni[emoji134]Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwili haujengwi kwa tofali[emoji1787]
#teamvibonge
Wacha maneno, tuma picha.
Daaaah!!
Acha maneno mengi tuma picha. Mie na kujiremba wapi na wapi[emoji1745]Hivi we Atoto sasa wewe unavyoona na mimi nina picha za kusema kwamba eti mtu asubirie nitume au abembeleze nitume?? Humu zinatakikana picha za watu kama ninyi ambao mnajiremba mnapendeza wengine tunatuma tu ili kukamilisha lengo la uzi!![emoji1787][emoji1787]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]sijui umenielewa..najua umenielewa haya tumeni picha basi jamani..
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwili haujengwi kwa tofali[emoji1787]
#teamvibonge
Ndio.Nimedanganya??
Nimekununia.
Sijui nikufukulie ule uzi[emoji134][emoji134][emoji134]
Hutumi picha.Nimekosa nini tena jamani??
Natoka wa kwanza [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mfyuuu
Wanene tokeni eti na wewe unatoka
@Heaven Sent njoo utupie link[emoji12]Hebu tuone
@Heaven Sent njoo utupie link[emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siikumbuki kabisa teh
Kwahiyo unanifahamu tangu mwanzo?[emoji134][emoji134][emoji134]