Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,124
- 6,209
Haya sina deni[emoji3516][emoji3516]Hujaomba ujue?? Haya voda wawili mie na Depal coca ye Halo!!
Sijambo jirani....Kwenu je.Nakusabahii jirani myoyambendi
Wee nimekosa aisee zote amewahi mtu mmoja halafu mnajishaua hamna njaa kumbe vocha mnazitaka nyumbu nyiee mmmxxxiiieeewww!!! Brian Spilner nimekosaaa kuna mseng.e anaishia na 14 kabeba zote
Nilidhani ni wewe ππππWee nimekosa aisee zote amewahi mtu mmoja halafu mnajishaua hamna njaa kumbe vocha mnazitaka nyumbu nyiee mmmxxxiiieeewww!!! Brian Spilner nimekosaaa kuna mseng.e anaishia na 14 kabeba zote
Depal nirudishie buku yangu ukute niwewe??πππ Wewe wa kishua hunaga shida ya vocha nirudishie buku yangu basi!!Nilidhani ni wewe ππππ
Sema dada una maneno aisee π€
Inaonyesha wewe kupanick ni ndani ya sekunde 1 β¦ donβt be that,, we ni wa mwanamke.. haipendezi sana
Unaweza jisahau ukamtukana mtoto tusi kubwaβ¦
Sorry kama nimepitiliza π
This is chitchat bana mie nataka vochaa hayo mengine sitaki jua!!Nilidhani ni wewe ππππ
Sema dada una maneno aisee π€
Inaonyesha wewe kupanick ni ndani ya sekunde 1 β¦ donβt be that,, we ni wa mwanamke.. haipendezi sana
Unaweza jisahau ukamtukana mtoto tusi kubwaβ¦
Sorry kama nimepitiliza π
Imekula kwangu leo!! Brian nimeliwa vocha mchana kweupeeee!!π€£π€£π€£ sina namba inayoishia 4.. wenye namba yangu waende kuangalia
Lenie
Aisee....Sijui imebebwa na naniβ¦ mie sina ππ View attachment 2313008
Watu waseee sana kujifanya sio ombaomba Kumbe njaa kali ka mie tu hapa!!! Shenzeeeeee!!Sijui imebebwa na naniβ¦ mie sina ππ View attachment 2313008
π€£π€£π€£Watu waseee sana kujifanya sio ombaomba Kumbe njaa kali ka mie tu hapa!!! Shenzeeeeee!!
Abee jirani yanguAisee....
Jirani pumguza hasira, Binadamu hawako sawa. kuna watu hawaposi lakini wanasubiria vocha wakimbize..Watu waseee sana kujifanya sio ombaomba Kumbe njaa kali ka mie tu hapa!!! Shenzeeeeee!!
π€£π€£π€£π€£π€£ππ! Nacheka kwa masikitiko π€£π€£π€£ππ€£π€£π€£
Kwahio nisubiri unanikompasetia kaka ??πππJirani pumguza hasira, Binadamu hawako sawa. kuna watu hawaposi lakini wanasubiria vocha wakimbize..
π€£πππ€£ sasa wanaochukua si waje kusema asanteπ€£π€£π€£π€£π€£ππ! Nacheka kwa masikitiko π€£π€£π€£π