Nataka umbea wa PM mie.Hicho sitasema
Nitawapa hizo clue mbili na msiporidhika nitawapa vocha mgombanie kupooza mioyo..
Tuko sawaa?
So nani yuko machachari humu zaidi ya Depal Coca AnneJamani taratibuu...
Watawashika mashati tushindwe kuamulia.
Hawa wako innocent, please
Humu machachari ni Coca Depal na Anne!! Kati Nani hao Nani sasa?? HS sio machachari BL sio machachari Yna Joan Tina umesema ni innocent!! Nani sasa??Jamani taratibuu...
Watawashika mashati tushindwe kuamulia.
Hawa wako innocent, please
π€£π€£π€£π€£ Miss buza ni machachariSo nani yuko machachari humu zaidi ya Depal Coca Anne
Humu machachari ni Coca Depal na Anne!! Kati Nani hao Nani sasa?? HS sio machachari BL sio machachari Yna Joan Tina umesema ni innocent!! Nani sasa??
@cocastic hajakubali hapo, asije nidai ya pmjamani, basi sawa boss
Alifuata nini bila kuitwa nae?? Mwanamke shurti uitwe bwana πππ!!π€£π€£π€£π€£ Miss buza ni machachari
So nani yuko machachari humu zaidi ya Depal Coca Anne
Humu machachari ni Coca Depal na Anne!! Kati Nani hao Nani sasa?? HS sio machachari BL sio machachari Yna Joan Tina umesema ni innocent!! Nani sasa??
Nakuja PM, Nataka huo ubuyu na vocha.@cocastic hajakubali hapo, asije nidai ya pm
Usije bhana, naweka clue mbili hapaNakuja PM, Nataka huo ubuyu na vocha.
Sasa si mnajitia kufunga Pm? Watawaiteni saa ngapi π€£π€£Alue
Alifuata nini bila kuitwa nae?? Mwanamke shurti uitwe bwana πππ!!
Cluesjamani, basi sawa boss
Sasa si mnajitia kufunga Pm? Watawaiteni saa ngapi
Wacha tuzifwatilie bana
Acha fix zako tushashtuka sie, maliza kazi wahi nyumbani.Clues
1. Baada ya little research nimegundua yeye hayupo kwenye waliobadili ID.
Kweli tena!! HS yuko bize na nasaha zake za Dini na malezi Bosi Ledi bize na picha hana maneno na mtu Yna Joan strawbella etc wanaingia kwa kubip T hana mapepe Viroporopo humu ni D A na C au nasema uongo ndugu zangu??ππππ Brian acha uongooo unawazulia watu uongoooooo Brian!nimecheka mno.
Kweli tena!! HS yuko bize na nasaha zake za Dini na malezi Bosi Ledi bize na picha hana maneno na mtu Yna Joan strawbella etc wanaingia kwa kubip T hana mapepe Viroporopo humu ni D A na C au nasema uongo ndugu zangu??Brian acha uongooo unawazulia watu uongoooooo Brian!
Acha fix zako tushashtuka sie, maliza kazi wahi nyumbani.
Hahaha mdomo komaaaaaClues
1. Baada ya little research nimegundua yeye hayupo kwenye waliobadili ID.
2. Kwenye majina yote mliyotaja, na yeye mmemtaja tayari humo.
Naomba nisiulizwe swali jingine. Wala msisort hayo majina. Kila mtu abaki na lake
Najua mnasema ivo ili nimtaje, namimi sitaweza kumtaja. Ila clue nimetoaKweli tena!! HS yuko bize na nasaha zake za Dini na malezi Bosi Ledi bize na picha hana maneno na mtu Yna Joan strawbella etc wanaingia kwa kubip T hana mapepe Viroporopo humu ni D A na C au nasema uongo ndugu zangu??Brian acha uongooo unawazulia watu uongoooooo Brian!
Ni mie jamani ndio nilimfata pm π€£ Coca alinisindikiza hadi stendKweli tena!! HS yuko bize na nasaha zake za Dini na malezi Bosi Ledi bize na picha hana maneno na mtu Yna Joan strawbella etc wanaingia kwa kubip T hana mapepe Viroporopo humu ni D A na C au nasema uongo ndugu zangu??ππππ Brian acha uongooo unawazulia watu uongoooooo Brian!