Brian Spilner fanya namna hizoAlimaanisha ni mie hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma comment yake huku nacheka mnooo. Muambie hatuna vocha na maisha yametuchapa.
Afanye fanye namna turejeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We watag tuu, mi simoo[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ikawaje, hebu nidokezee kidg tyuuh, nipatie ubuyu ni jambo gani hilo??We watag tuu, mi simoo[emoji3][emoji3]
Na me sitaki kumtaja kwasababu alishanijia pm kwa jambo la kipumbavu, ila kushinda kwake online kunachangamsha jukwaa, siunajua wadada vile mnanogesha hapa.
Hahahaa achecheeee Dj waleteeeeWe watag tuu, mi simoo[emoji3][emoji3]
Na me sitaki kumtaja kwasababu alishanijia pm kwa jambo la kipumbavu, ila kushinda kwake online kunachangamsha jukwaa, siunajua wadada vile mnanogesha hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brian Spilner fanya namna hizo
@cocastic jana usiku nilichungulia nikamuona.Brian Spilner fanya namna hizo
Wengi sana wanachangamsha ila kuna uniqueness ya kila mmoja!! Kuna watu wakikosa unaona uzi unazubaa na kupoa sana!!We watag tuu, mi simoo[emoji3][emoji3]
Na me sitaki kumtaja kwasababu alishanijia pm kwa jambo la kipumbavu, ila kushinda kwake online kunachangamsha jukwaa, siunajua wadada vile mnanogesha hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa achecheeee Dj waleteeee
Me sijamjua bana, akijishtukia atajijua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndo kaniacha hoi, yaan kamfata DM, sijui ndo huyu naemuwaza mie au tofauti, ila JF yamotoooo uwiiiiihHahahaa achecheeee Dj waleteeee
Me sijamjua bana, akijishtukia atajijua mwenyewe
Mods wanamuonea 🤣🤣🤣@cocastic jana usiku nilichungulia nikamuona.
Huyu akipotea kidogo ujue bann. Picha zake na comments huwa zinasisimua moderators
Me nimeshindwa kuwaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndo kaniacha hoi, yaan kamfata DM, sijui ndo huyu naemuwaza mie au tofauti, ila JF yamotoooo uwiiiiih
Jamani emu muite 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akisoma hapa lazima ajijuee
We mwanafunzi unataka nimwage kuku kwenye mchele wengii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ikawaje, hebu nidokezee kidg tyuuh, nipatie ubuyu ni jambo gani hilo??
Wewe ndio tudokeze ilikuaje ukamzamia buroo kwa waziri tena kwa jambo la kiwaki eti!! Au ni Tins naona Brian kaogopa kweli![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ikawaje, hebu nidokezee kidg tyuuh, nipatie ubuyu ni jambo gani hilo??
Kwanza soon nakua modes, mkae kwa kutulia tyuuh.@cocastic jana usiku nilichungulia nikamuona.
Huyu akipotea kidogo ujue bann. Picha zake na comments huwa zinasisimua moderators
Sahizi sipigwi Ban, nikiletewa zengwee, naenda zangu kwa boss najiliza bas natolewa chap kifungoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mods wanamuonea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo huyo mwingine ana siku ngapi hajaonekana? Tummulike
Sasa km ni yule, si kabadili ID?? au.Me nimeshindwa kuwaza
Maana naona nimetag karibia wote
Mtaje bana 🤣 akija kukuwakia na sisi tunamuwashaaaWe mwanafunzi unataka nimwage kuku kwenye mchele wengii[emoji23][emoji23]
Unataka uunganishe dots..Mods wanamuonea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo huyo mwingine ana siku ngapi hajaonekana? Tummulike