Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
!! Haya tuendelee kuselfika mamy!!



naomba umwambie aharakishe posa.!! Haya tuendelee kuselfika mamy!!



naomba umwambie aharakishe posa.Weuweee nitakuja unifundishe na mieMtoto wa mkulima mie Najua dear hapa nipo kuaandaa mashamba kwanza!!!
Kabisa biashara asubuhi!!!! CAPTO Ujumbe wako huu fanya himaa!naomba umwambie aharakishe posa.
Hahahaaa... this is chitchat kipenzi tunasogeza masaa tu hapa!!


sogeza mwaya siku ziende. Maisha ndiyo haya hayaKabisa biashara asubuhi!!!! CAPTO Ujumbe wako huu fanya himaa!naomba umwambie aharakishe posa.
Kabisaaa!!!sogeza mwaya siku ziende. Maisha ndiyo haya haya
Jioni inakuwa cyo bihashara hiyoKabisa biashara asubuhi!!!! CAPTO Ujumbe wako huu fanya himaa!

UsijaliKama Sangapi jamani!! Haya nikichelewa usiifute sasa!
Umeona eeehhh!!Jioni mahesabu!!Jioni inakuwa cyo bihashara hiyo![]()
Nimegoma mgomo baridiKabisa biashara asubuhi!!!! CAPTO Ujumbe wako huu fanya himaa!
Najua huwezi kwa Joan umefika 😉😉!!Nimegoma mgomo baridi
Hahha wanasoma nn jmn kha wawaache wakahesabiwe 😂Huku akina Junia hawafungi ati..
Sijui ndio wakina John Kisomo au walimu wanafanya tu namna wapate ada ya mwezi huu🤔
Watoto wa chekechea eti hawafungi!
🤣🤣😂😂😂 Nimecheka kama chizi!!!!Hahha wanasoma nn jmn kha wawaache wakahesabiwe 😂
Na hiv hatujapanga mabasi ya njano🤣🤣🤣Accordingly ndio nini, unatuchanganya bana st kayumba
Umeamkaje didi ake
Sensa Kwa maendeleo🤣🤣🤣sis hakuna kusoma madarasa yote Wala zamu ya kufagia Wala ya kumwgia maua ni kujiandaa. Na sensa🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Nimecheka kama chizi!!!!
Kweli Kabisa!!
😂😂 you vibe, we vibe…Accordingly ndio nini, unatuchanganya bana st kayumba
Umeamkaje didi ake
Anatunyanyasa bure😂😂Na hiv hatujapanga mabasi ya njano🤣🤣🤣
Wee sie zamu ipo kwa ajili ya kufanya usafi kwani shuleni kwetu ni kituo cha semina !!Sensa Kwa maendeleo🤣🤣🤣sis hakuna kusoma madarasa yote Wala zamu ya kufagia Wala ya kumwgia maua ni kujiandaa. Na sensa🤣🤣
Kuwachosha watoto 🤣🤣ela za sensa zinakaz gani 🤣muajir wafanya usafiWee sie zamu ipo kwa ajili ya kufanya usafi kwani shuleni kwetu ni kituo cha semina !!
Watajijua wenyewe hahaha!!Mie nilipigwa zauso japa nipo zangu shamba naandaa mashamba yanguuu Sitaki tabu!Kuwachosha watoto 🤣🤣ela za sensa zinakaz gani 🤣muajir wafanya usafi