Karibuni cha usiku halafu baadae tule cha usiku View attachment 1255842
Tangu huu uzi umeanza leo ndio umeongea point. Nitumie kalaki tu.Basi rudia lile jamani,, hivi tukutumie sh ngapi ili urudi kule??
Ni kweli tuna hasira."Wanakasirika",, najua umeshasahau hata tunaongelea nini[emoji1787][emoji1787]
Wanaume walooa wanyakyusa wanatoa shuhuda wanavyokula mabanzi.
Wanaume walooa wanyakyusa wanatoa shuhuda wanavyokula mabanzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata sijisumbui kuangalia maana najua hamna kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwa chako!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmhh usiwasikilize hao,, nenda Kyela ukajionee mwenyewe namna wanawake walivyo wanyenyekevu..
Yaani[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtcheeeeeeeeeeew
Haha twakupenda piaa
Hata mimi nakushangaa umelitoa wapi[emoji134][emoji134]Bufu ni nini?
We yako iko wapi?Yaani
Mnaongea saaana [emoji1780][emoji1780]
Tupieni basii
Hii umeigugo wapiKaribuni cha usiku halafu baadae tule cha usiku View attachment 1255842
Tangu huu uzi umeanza leo ndio umeongea point. Nitumie kalaki tu.
Ni kweli tuna hasira.
Mmmmmmh!!![emoji134][emoji134][emoji134]Laki tu?? Daah mie nikajua labda million,, usijali hiyo umepata au ukitaka zaidi pia niambie..anything for you[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]