Sasa naona utakuwa umeridhika mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa,, tatizo nacomment huku kuna kazi nafanya ndiyo maana napitwa..
Hizo nazo bado ni primitive....top speed yake ni 160km/hr
Wamakonde...
Sijui nikufukulie ule uzi[emoji134][emoji134][emoji134]Hapana, in fact TZ yote wanaume wanaonea sana kina mama haswa huko vijijini...
[emoji848]View attachment 1255801
Khaaah!! Hawa ndugu zako wameniharibu maana nilikuwa nikishusha wananishangaa na kuniuliza "hivi mwalimu wewe mtu wa wapi?" Nikaona isiwe taabu, imebaki nalishushaga home tu.
Huwa nashangaa sana wakikusifia na kuniacha mimi wakati kila kitu umerithi kwangu[emoji134][emoji134][emoji134]
Khaaah!! Hawa ndugu zako wameniharibu maana nilikuwa nikishusha wananishangaa na kuniuliza "hivi mwalimu wewe mtu wa wapi?" Nikaona isiwe taabu, imebaki nalishushaga home tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu aliwahi kuniambia nilivyokuwa espy nilikuwa kakorofii, sasa which is which[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Rudi espy, hebu andikia invizibo au modereta rait nau...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu aliwahi kuniambia nilivyokuwa espy nilikuwa kakorofii, sasa which is which[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Bhikukalala ni lugha gani?
Mnyakyusa tena[emoji134][emoji134][emoji134] haushindwi kabisa.
Ndiyo shida sasa, unajikuta huwezi kuunga stories maana yaiyopita yanakuwa ni mengi.
All in all, ni moja ya thread zimepunguza bifu JF.
Ashukuriwe mlozi mkuu wa JF Mshana.
Bufu tena?!!!!!!!![emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama naliona hilo gazeti.
Ni wivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyoo
Utaunguza mboga wewe
Kalumanzila nini tena?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]