Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
🤣🤣🤣🤣Jaman pisi za dar zinakula hivi hubakishi hata punje umekua kama mpare![]()
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kutupa chakula dhambi ujue
🤣🤣🤣🤣Jaman pisi za dar zinakula hivi hubakishi hata punje umekua kama mpare![]()
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
AsantenKaribu sana Selfika Wise girl!! mpya kweri kweri ama kivingine mamaa???
Sitaki kwenda motoni mie😀
Ndio me mzima sijui wwUchawi huu jaman
Haya poa mrembo mzima wewe?
Salamu tu hyo haina madhara
Mshana huko utapaweza ndugu?
Tena wewe ndo taipu zangu kabisaaaSalamu tu hyo haina madhara
Napokea wageni wa Kike tuCarrasco putin Tunakupa kitengo cha kupokea na kukaribisha wageni!!
Tunakutakia utekelezaji mwema!
Njoo pm unisalimie vizurCarrasco putin mambooooooooh

au basiAaah kumbe unapenda watu waso na nyamaTena wewe ndo taipu zangu kabisaaa
Yeye mwenyewe kapata bwana kwa kuwafuata watu huko kusikojulikana
Me sitak bwana nataka kakaYeye mwenyewe kapata bwana kwa kuwafuata watu huko kusikojulikana
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sipendi watu tu napenda ulivo weweAaah kumbe unapenda watu waso na nyama