spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Asantee mkemiaaaTumeamshwa poa kabisa mjumbe! Asante sana kwa kutubless asubuhi asubuhi!!
Asantee mkemiaaaTumeamshwa poa kabisa mjumbe! Asante sana kwa kutubless asubuhi asubuhi!!
Mengi mno dear.... Mengine bado yanakujaKweli dunia ina mambo
Mie nipo mpenz sema nachoka muda mwingi nashinda hospital... Nkitoka tu hospital mgonjwa anagoma kula... Mambo yanaingiliana muda ambao natakiwa nifanye kazi zangu ni mdg sana mama.... Ila leo nipo sana humuNiko vyedi sana mamy umetususa sana Tangu majuzikati dear!;
Kaka Mshana shikamoo
Pile na kuuguza dear vipi mgonjwa anaendeleaje??Mie nipo mpenz sema nachoka muda mwingi nashinda hospital... Nkitoka tu hospital mgonjwa anagoma kula... Mambo yanaingiliana muda ambao natakiwa nifanye kazi zangu ni mdg sana mama.... Ila leo nipo sana humu
Shikamoo kaka Spidernyoka
Kaka Mjep shikamooMkuu utaumwa macho
Mgonjwa badala apone ndo kazidi kuzidiwa..... Ile week alikua poa Ila week hii ishakua hatariPile na kuuguza dear vipi mgonjwa anaendeleaje??
Dahh pole sana dear Mungu amponye haraka na kumjalia afya njema mamiii!!Mgonjwa badala apone ndo kazidi kuzidiwa..... Ile week alikua poa Ila week hii ishakua hatari
Amina dearDahh pole sana dear Mungu amponye haraka na kumjalia afya njema mamiii!!
Lol!! Haya usitoke hapo nikuangalizie kipenzi!!Amina dear
Haya pita hapo mzima mzima tubarikiwe asubui
Uchawi huu jamanShikamoo kaka Spidernyoka
Cheen beez,Chid Beez sijui
Binti mchoyo huyuu shikamoo ya kazi ganiHahahaaa!!! Lovelovie Anakuwangia asubuhi kweupeeee!! Shikamooni anataka kukunyima nini!🤣🤣😂😂😂😂
Mwite mwambie nimembless hukuuu!!Binti mchoyo huyuu shikamoo ya kazi gani