[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rudi espy, hebu andikia invizibo au modereta rait nau...
Kijiwe chetu cha soga hiki, utuwache.
Asante Mshana Jr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema suuuuu, niufukue na ule uzi mama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani, kila nikiingia naiona.
Halafu naikuta imeenda page 50+.
Weeeeeh!! Hakuna watu wapole dunia hii kama wajaluo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu chukua chepe na jembe hivi hapa mama, mfukulie huyo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata pm utapitwa, baki hukohuko.
Bhikukalala ni lugha gani?Mmhh nasikia hao bhikukalala balaa yaani
Mnyakyusa tena[emoji134][emoji134][emoji134] haushindwi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pm napitwaje eti jamani??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ukija unaanzia mwisho then unaendelea.
Atawezea wapi; hakawii kuanguka
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Nilimshushua pm[emoji134][emoji134]
Ananisingizia huyo[emoji85]
Bifu tena?!!!!!!!![emoji134][emoji134][emoji134]Ndiyo shida sasa, unajikuta huwezi kuunga stories maana yaiyopita yanakuwa ni mengi.
All in all, ni moja ya thread zimepunguza bifu JF.
Ashukuriwe mlozi mkuu wa JF Mshana.
Kaone vile!Atawezea wapi; hakawii kuanguka
Wanyakyusa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeap sema na yeye alizingua anasema eti labda alikosa swaga nzuri nikamuambia weee yule haingiliki kizembe nikajikuta na mimi nakujua nikaanza kumuelezea uongo na ukweli kuhusu wewe[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
We fanya kazi mama maana asiefanya kazi na asile. Sie ndio muda wetu wa soga huu.
Hatimaye mekutana na picha....
Mependa raba zako mkuu
Wanyakyusa ni changamoto.