Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa, hawa wa size yangu nimewashindwaaa. Ni pasua vichwaa mnooo. Bora niwe na dogo dogo ataniogopa angalau

Magume gume haya ya rika langu, hapanaaaaaa.
Hatuna jinsi zaidi ya kuwapiga matukio tu,,. Mmezidi
 
[emoji1787][emoji1787]Ana shamrashamra za kuondoka likizo hakamatikiii!! kuna Huyu mlinziii vipi nikupasiee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]!!
Oyaa huyu ndyo HB wa cocastic hakika UD imepata shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu si kolokolo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HB wangu umemuona?? Muambie madame akuoneshe, ni hatareeeeh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaah, sijawahi bembeleza
Nalia afu napita hivi, uwiiiiih
Me naliaga haswaaa kama niliingia na viatu πŸ€£πŸ„β€β™‚οΈπŸ„β€β™‚οΈ

Sema nikinyamaza ndio basi, ila ukinikuta bado nalia unaweza niwin upya πŸ˜’
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na sahivi watelezeaji wako wengi, na wanapenda kweli. Ishakua fashion..
Fashoni kutelezea au πŸ€£πŸ€£πŸ„β€β™‚οΈπŸ„β€β™‚οΈ
 
Me naliaga haswaaa kama niliingia na viatu πŸ€£πŸ„β€β™‚οΈπŸ„β€β™‚οΈ

Sema nikinyamaza ndio basi, ila ukinikuta bado nalia unaweza niwin upya πŸ˜’
🀣🀣🀣🀣
Ulivyokua mbabe hivyo, hayo machozi yanatokea wapi
 
Me naliaga haswaaa kama niliingia na viatu [emoji1787][emoji2101][emoji2101]

Sema nikinyamaza ndio basi, ila ukinikuta bado nalia unaweza niwin upya [emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ukilia kabla hujanyamaza, akikuwahi mna rewind, uwiiiih. Nimecheka mnooo.

Mapenzi ni nyokooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…