Selfika na JF: Snap it. Show it

Wajuvi kuna haya mapele usoni yamenigandaa huu mwezi wa pili nitumie kitu gani??
vikikakauka vinaacha alama nyeusi!
Naombeni mwongozo!
Poker cocastic Tinsley Simara
Sijatajwa ila kiherehere changu baada ya kuiona picha nzuri...
Shangazi yako hapa nyumbani aliyapitia hayo madhira, kilicho msaidia ni mafuta ya nazi "Halisi",yanauzwa 1,300 hadi 2,000.
Hakuchanganya na kitu chochote na bado ndilo limekuwa chaguo lake mpaka sasa.
 
Lol Nimesema wajuvi na wengine bosss😘😘!
Hayo mafuta anatumuaje yani mfano asubuhi akioga usoni ni mafuta ya nazi tu bila kitu kingine kama tulivoziea kujipodoa wanawake au inakuaje 🤔🤔🤔🤔??
 
Ana shamrashamra za kuondoka likizo hakamatikiii!! kuna Huyu mlinziii vipi nikupasiee
!!
shougaaaaaah usinitafute maneno, tafadhari!!!
Ndo umenichoka kiasi hiki??? Hebu huko mie namtaka HB wangu.

Msafi, smart, braniac, aririiiiiiiiii, nileteee puliiiiz.

Huyu mlinzi baki nae wee, mpe na bunduki hiyo alinde vyedi.


Shougaaaaah nimechekaaaa, hivi kwan makamanda na viongozi wa ulinzi na usalama wa shule wanakuaga wabayaa, afu sura gudu, woiiiiiiih.

Sitakiiiii, nileteee HB wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…