Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Dizain umetususa sana selfika unatokea mara moja moja sana mjumbe!Kwamba tunapishana mkuu
Dizain umetususa sana selfika unatokea mara moja moja sana mjumbe!Kwamba tunapishana mkuu
Uombe aweke Kabla hawajajaa hapa wakijaa utaona manyoyaa!!
Yakoo hio shoss Anne keshakuja ikiwekwa voda Airtel msitegemeeeeHahha aunt fanya chap Kuna wajumbe wasije wakapita nayo
Mama junia mama junia 👋👋👋Yaani nakudai na unanipangia masharti?
Hii nchi uhuru umezidi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
💃Leo nimewah Asante auntyang
Mie nipo nakimbizana na watoto huku sijihangaishi kabisa!!Hahha aunt fanya chap Kuna wajumbe wasije wakapita nayo
Aunt uko makini😍😍💃Leo nimewah Asante auntyang
Weee Nivile wa Tigo wenyewe speed zao hawakuwepo!!💃Leo nimewah Asante auntyang
Tujazee tujazeee tu mr vocha weee tujazeee!!🤣🤣🤣😂Aunt uko makini😍😍
Hongera
Walimu hamkosei
😃😃Nimewawahi wajumbeYajo
Yakoo hio shoss Anne keshakuja ikiwekwa voda Airtel msitegemeeee
😂Vita ya vocha ni Kali Kuna watu wanapita kimyakimya itakuwa wamsetia notification Mr vocha akitype tu wanakuja😂😂Mie nipo nakimbizana na watoto huku sijihangaishi kabisa!!
Walimu mko vizuri sanaaaaTujazee tujazeee tu mr vocha weee tujazeee!!🤣🤣🤣😂
Yaniiiii wako fastaaaaa hatareee!!😂Vita ya vocha ni Kali Kuna watu wanapita kimyakimya itakuwa wamsetia notification Mr vocha akitype tu wanakuja😂😂
Nipo mwenyekiti npo sanaaaDizain umetususa sana selfika unatokea mara moja moja sana mjumbe!
Wabheja sana mjumbeeee!!Nipo mwenyekiti npo sanaaa
Assssaaaaaaanteeeehhhh!!Hatuna shida kabisa no stress na htuzeekag basi 😂😂😂