Nilimshauri asubuhi hajanisikia[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha apitwe tu
Hiyo mifano bora angemwacha saint tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haifai kufukua vilivyokufa
@Karma bora ulinyimwa mwili.Wa kyela hao ndiyo wanaopiga waume zao[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nashangaa sana wakikusifia na kuniacha mimi wakati kila kitu umerithi kwangu[emoji134][emoji134][emoji134]Acha wivu mama
Me sio mkorofi kama wewe mbonaHuwa nashangaa sana wakikusifia na kuniacha mimi wakati kila kitu umerithi kwangu[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sio mpole ila nina kasauti kadogo halafu kaupole, nikiongea utasema mie mpole sana ilaaaaaa.......
Yani limejaa huku acha tu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kama nakuona na bichwa lako kama sabuni[emoji57]
Mimi sio mkorofi.Me sio mkorofi kama wewe mbona
Kyela na Tukuyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oohh labda useme una sauti ya upole,, sasa wenye mabass halafu tunaongea haraka tunacomment wapi??
Ooooh!! Ndio maana wanaitwa wakata miwa?
Zipo huku ileje, njoo uzione.
Nipe hela.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Karma bora ulinyimwa mwili.
Karibu sana.Nasubiria mwaliko wako hivyo
Nataka pesa tu.Hahah yaani wataka sifa na pesa juu...khaaa!!!
Acha utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara nyingi tu tunakuwa upande mmoja[emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha utani[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole.
Angalia haraka nafuta.Sawa tuuu