Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie kumbe Twitter kuna mtu anatumia jina language hili la JF.
sasa yeye kaweka hivi.

Cocastic_zungu. leo bhanaa ktk kupuyangaa si nkakuta ktk comments, kwanza nilicheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaaaah kumbe mie brand. Afu sijijui. Nkaamua kumfata DM kumdodosa eti anasema hilo jina katoa ktk mtandao m1 hivi, kutaja hataki, nkaamuambia umechukua JF eeh? Wacha aanze kujifaragua, nilicheka leo khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee brand kubwaa shosss anguuu!! Watu wanataka kusafiria nyota yakooi kama yule wa kusafiria ya Yoga kule telegram!!
 
Hahahaaa... alikuwekea shuntama huyoooo ! nshomiles kwa shuntama ni hatariiii!!! Enzi hizo chuo field nilikua bado badooo nimo nimoo nilikua na mtrakoo uwiiiii!!! Maisha hayaa Jamaniiiii!!!!
Shikamoo Ukubwa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji6][emoji6][emoji6]!
Sasa nshomiles wanavopenda kartexxx ulitoboa kweli [emoji2960][emoji2960][emoji6]!!
Naomba nione ulivyo kwa Sasa Antonnia
 
[emoji725][emoji725][emoji725][emoji725][emoji725] watoto haeajalala[emoji16][emoji16][emoji16], Hiyo unaitwa water falls. Safari alifika Ila nilikuwa natamani field iishe nipotee.ila Shughuri nilifanya
Na wanavopenda hizo mambo sasa uwiiii ni wanapenda hadi basi!! Alikua anakupikia matoke na ebinyobwa???😂?? Matoke mixa samaki humohumo maharage ntongo????? Hahahaaa...
 
Back
Top Bottom