Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahah jamani si kujiachia tuKaenda kanda ya ziwaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38] ni mrefu mwembamba !!!!!!
Kwa sie wanawake so rahisi kujiexpress hivo humuu kirahisi rahisi hivoooo!!
Hongera sana best!
Acha nijechetue tu mie huwa sipati hii nafasi kuongea live .
Mweh simjui huyo aliyeenda huko kanda ya Ziwa
Leo nimechangamka tu .