Wasafwa ndiyo wenye Mbeya mjini sasa,, japo wao wamebase sana kwenye kilimo kwahiyo huwa hawapendi kukaa mjini wanakaa milimani huko na kwa mkoa wa Mbeya wengi wako Chunya huko