Fungua pm chap
Tayariiii fanya kweli baas. Nasubir boss mie.Fungua pm chap
ππNa picha
Rudiaaa yakwakooo!! umenihujumu mr Vocha!!ππππ
Volleyball, awwwwwwwwhhhh ahsanteeeee shougaaaaaah.Na picha
Acha tu...tumewafungaaaaa balaaaa!! Sema netball wametutandikaaaaa wametuogeshaaaaaπ€£π€£π€£πππ!!Volleyball, awwwwwwwwhhhh ahsanteeeee shougaaaaaah.
Nikikaa kati kat hapo, noumaaaaaah.
Centre mwenyeweeeee, nilifika UmiSeta Taifa. Mwanza.
Kupitia Volleyball.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Netbal sijawahi elewa, mie Volleyball ndo pakeee. Yaan sitoki hapo.Acha tu...tumewafungaaaaa balaaaa!! Sema netball wametutandikaaaaa wametuogeshaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Sielewagi hiyo michezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Netbal sijawahi elewa, mie Volleyball ndo pakeee. Yaan sitoki hapo.
Mpira haushuki chini ausio!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Netbal sijawahi elewa, mie Volleyball ndo pakeee. Yaan sitoki hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gorori upi? Kulenga nyoda??Sielewagi hiyo michezo
Mie goroli tuuu [emoji2101]
Haswaaaaah.Mpira haushuki chini ausio!!!
Nyoda ndio nn? π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gorori upi? Kulenga nyoda??
Sasa gorori mnachezaje?? Si kunakua na ki mnati afu wanakiweka km ki ubao, afu ndo mnakipiga, ukikaa vibaya kinakurudi usoni kinabonda hata kudufua jicho.Nyoda ndio nn? [emoji1787][emoji1787]
BanaSasa gorori mnachezaje?? Si kunakua na ki mnati afu wanakiweka km ki ubao, afu ndo mnakipiga, ukikaa vibaya kinakurudi usoni kinabonda hata kudufua jicho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndyooo ndo hivi, unalenga kwenye nyoda.Bana
Me nasemea gololi hiziView attachment 2301210
Dah aisee nimekumbuka mbali sana enzi hizoo πππBana
Me nasemea gololi hiziView attachment 2301210