Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗🤭🤭
kiroho safii 😁😁
822C053A-ACB9-4EE7-97A4-D0F9225C9012.jpeg
 
Antonnia
Shougaaaa angu, shikamoooo!!

Shouzzzzzz naomba nipelekee clinic, mimba yangu ishakua kubwaa,
Hebu nipeleke nkapate huduma zote za ujauzito.

Uandaee baby kits n shower, mamdoo ako anakujaa.
Leo anasumbua tumboni balaa. [emoji8][emoji8][emoji8].

Hongera dear
Baby shower ya maana naomba utualike muda ukifika.
 
Kumbe na wewe una ka junia?
Hii baridi mwaka huu imetuletea shidaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Mwanangu sio Junia, tafadhari sanaa.

Ana jina lake zuriii tyuuh, akuuuu sitakiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], baridi imefanya nn? Muda wa kutotoa yai language umefika. Acha niatamie mie.

Huhuhuh.
 
Back
Top Bottom