Niko poa dear! I hope nawe uko vizure mamy!!πUko poa lkn[emoji3059][emoji3059]
Umebarikiwa Sura,
ππAsanteUmebarikiwa Sura,
Kwenye Shindano La Warembo,
Acha Nikupe Taji ππ
Haswaaaaaah!!!Uanze tuchangmshe ubongo tena
Nguvu moja
Amependeza!!π Ni nywele zake upande upande Rasta au rasta hadi huko kwenye mbenjuo???View attachment 2299880
Suka hiziπ
Shougaaaaaaah angu Simba inanipa u kichaaa sio kwa raha hizi.Shabiki kindakindaki[emoji108][emoji108][emoji108][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]
Nywele kwenye mbenjuo,rasta upandeAmependeza!!π Ni nywele zake upande upande Rasta au rasta hadi huko kwenye mbenjuo???
Kilimanjaro Jamanii π€£π€£π€£π€£ππππ€£!!!!Suka Kilimanjaro mbna simple tyuuh.
Au unaonaje???
Ila hapo umetokelezeaaaaa, ki headmistress.
Amenougaaa!! Vinywele vyangu mbele vimekatika itabidi mbenjuo anishikie tu rasta!!Nywele kwenye mbenjuo,rasta upande
Nimemmiss selfii zako shoss kitambo sijakuona shoss angu nifanyie namna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!πShougaaaaaaah angu Simba inanipa u kichaaa sio kwa raha hizi.
Tutachangamshana baadae hapa kijiweni. Now niko jukwa la soka nakiwasha kwani.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hongera mjeda
Umenikumbusha kuvunja bond kwenye organic ya advance. Aloo kuna bond nyingine hazisikii nyundo.Kilimanjaro Jamanii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!
Chemistress wako huyo!! [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!!!
Juzi bana kwenye mock kuandaa practical kemia ilitusumbua balaaa!! Hadi dakika 10 muda wa kuanza mtihani umefika majibu hayajiiiii jamaniii!! Yalikubali after 15 mins muda wa kuanza doh!!Umenikumbusha kuvunja bond kwenye organic ya advance. Aloo kuna bond nyingine hazisikii nyundo.
Burudani ilikua kwenye polymers
Asante dear saivi nataka simpoHebu ona hii
Sasa nawazia huko kwenu zipo.
Ya pili hii inaitwa Shakira , ya tatu hiyo inaitwa wine
View attachment 2299890View attachment 2299891View attachment 2299892
Sijaielewa vizuri hiyo imekaa kama crotchet sijui wanaifanyaje wakisukaAsante dear saivi nataka simpo
Hizo za kwanza nyuma ni mabutu??
KomweSijaielewa vizuri hiyo imekaa kama crotchet sijui wanaifanyaje wakisuka
Suka selfie ya gel kama hii au knotless ziwe kubwa View attachment 2299899
Mpango mzima